Retour aux promos
NSSF App

Finance

Gratuit

NSSF App

par National Social Security Fund (TZ)

v1.0.6 186 Mo Universel 4+

Description

Mfumo wa "NSSF TAARIFA" umebuniwa mahususi kwa ajili ya wanachama. Mfumo huu unamuwezesha mwanachama kupata taarifa za michango yake kwa urahisi. Kupitia mfumo huu, mwanachama anaweza kufanya yafuatayo:

a) Kuangalia Taarifa za Usajili wake (Member Profile):
- Kupata taarifa binafsi za usajili.

b) Kuangalia Taarifa za Michango:
- Kupata taarifa zote za michango iliyowasilishwa na kampuni katika Shirika.
- Kupata taarifa za michango iliyowasilishwa na wanachama wa hiari.

c) Kupata Taarifa za Michango (Statements):
- Kupata taarifa kamili za michango iliyowasilishwa.

d) Uhakiki wa Wastaafu:
- Kuona taarifa za mstaafu.
- Uhakiki

Mfumo huu unalenga kuwezesha mwanachama kuwa na ufahamu zaidi kuhusu michango yake na kusaidia katika kupanga mipango ya kifedha kwa ufanisi.

Nouveautés (v1.0.6)

We made improvements and squashed bugs so your NSSF experience is even better.